Afisa Maendeleo ya
Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bi. Amina
Sanga (Mbele Kulia) akizungumza na wanachama wa Kikundi cha MVG
kinachojishughulisha na Mradi wa ufugaji samaki katika bwawa walilochimba
wenyewe ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Kwa Mbele
Katikati ni Afisa Maendeleo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya Hai, Bi. Chima
na nyuma yake ni Afisa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana,
Ajira na wenye Ulemavu Bw. Godfrey Chacha.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni