Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira, Mhe. January Makamba (katikati) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Balozi Joseph Sokoine (kulia) na
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Joseph Malongo wakati wa ziara
yake ya kukagua maendeleo ya hatua za awali za ujenzi wa Ofisi za Makamu wa
Rais zinazojengwa katika Mji wa Serikali Ihumwa jijini Dodoma leo tarehe 4,
Desemba, 2018.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni