![]() |
Mwanafunzi wa kike akiwa darasani, Picha na Maktaba |
Na:
Frank Shija
Wanafunzi
na vijana wakitanzania kuendelea kunufaida na usafiri wa njia ya anga kwa
gharama nafuu kupitia Kampuni ya Sta Travel yenye maskami yake mtaa wa mtendeni
manispa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Hayo
yamebainishwa na Meneja uendeshajji wa Kampuni hiyo Abass Takim alipokuwa
akizungumza na mwandishi wa habari hii ofisini kwake jana.
Takim
amesema kuwa watanzania wanaosoma elimu ya juu nje ya nchi wanayofurusa ya
kunufaiki na huduma zaokwa kuwaunganisha na usafiri wa gharama ndogo zenye
punguzo maalum za kusafiri wakati wa kwenda na kurudi kutoka masomoni katika
nchi wanazosomea.
Takkim
amesema kuwa taasisi yao imekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania wanaopata fursa
ya kusoma nje ya nchi kwani wanatoa huduma ya usafiri ikiwa na punguzo maalum
la gharama za usafiri ili waweze kumudu gharama hizo, ambapo huduma hiyo ya
usafirishaji wa wanafunzi kwa gharama nafuu inaenda sambamba na huduma za
malazi kwa gharama nafuu wakati wa kwenda na kurudi, Bima ya safari na Kitambulisho cha Kimataifa cha Mwanafunzi
Aliongeza
kuwa mpaka sasa Taasisi yake imetoa huduma ya hiyo kwa watanzania wengi hasa
wanafunzi wanaoenda kusoma katika vyuo vya Kuala Lumpar Malyasia, London
Uingereza, na Guangzhou China.
Aidha
Abbas alisema kuwa pamoja na kutoa huduma hiyo kwa watanzania kumekuwa na
changamoto katika upatikanajji wa Viza kwa wateja wao na kupelekea kujitokeza
kwa usumbufu, hata hivyo Sta Travel imekuwa ikijitahidi kuwasaidia wateja wake
ili wakamilishe taratibu zao kwa wakati.
Sta
Travel ni asasi inayojihusisha na utoaji wa huduma ya kusafirisha wanafunzi kwa
gharama nafuu ikiwa na punguzo kwa lengo la kuwasaidia watanzania kufikia ndoto
zao bila kuwapo na kikwazo.
Katika
kuhakikisha inafikia wateja wake kwa urahisi zaidi Sta Travel imefungua zaidi
ya matawi 400 katika nchi 100 dunia kote ambapo kwa Tanzania ofisi zake
zinapatikana katika mtaa wa Mtendeni, Kisutu (Posta),Takims Holidays / STA
Travel Partner mkabala na Supermarket ya Shrijee jijini Dar es Salaam unaweza
pia kuwasiliana nao kupitia simu namba +255 758 828384/85 au tembelea tovuti
yao http://www.escape-tanzania.com/
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni