Jumatatu, 29 Februari 2016

Wadau kutoa maoni kuhusu Sera mpya ya Maendeleo ya Michezo

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Zawadi Msalla( katika) akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) wadau kutoa maoni ili kuboresha Sera ya Michezo leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Alex Makoye Nkenyenge na kushoto ni Afisa Uchumi Mwandamizi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Richard Kundi.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Alex Makoye Nkenyenge akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu wadau kutoa maoni ili kuboresha Sera ya Michezo leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Zawadi Msalla na kushoto ni Afisa Uchumi Mwandamizi wa Wizara hiyo Bw. Richard Kundi.

Picha na: WHUSM.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Kumbukumbu la Blogu