Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.
Dkt. Fenella Mukangara (MB) akitoa nasaha kwa wajumbe wa Baraza la Michezo la
Taifa (BMT) wakati akizindua Balaza la 13 la Michezo leo jijini Dar es
Salaam.Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Elisante Ole
Gabriel na wa mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard
Thadeo. Wajumbe waliohudhuria hafla hizo ni pamoja na ,Mkurugenzi wa PSPF Adam
Mayingu, Zacharia Hans Pope, Jamal Rwambow, Mkurugenzi wa Operesheni wa NSSF Crescentius Magori ,wajumbe wengine ni Alex Mgongolwa, Jennifer Mmasi
Shang’a, Mhe. Zainabu Vulu (MB), Mohamed Bawaziri na Mwl. Zaynab Mbiro.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni