Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kutoka kulia) akiwa katika picha
ya pamoja na wanahabari wakongwe mara baada ya kikao baina yao leo jijini Dar
es Salaam. Kutoka kulia ni Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Ali Chimbyangu
ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva RTD, Daily
News na African Juornal, , Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye
pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga na mwisho kushoto ni Charles
Simpungwe
Picha na Frank Shija; WHUSM
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni