Alhamisi, 12 Februari 2015

Tanzania yatia yaridhia itifaki ya Brigthon Declaration

Katibu Mtendaji  wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya (kulia) akisaini Waraka  wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam  leo (jana) kushoto ni Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bi. Juliana Yassoda.
Mkurugenzi  Msaidizi kutoka Idara ya Maendeleo ya Michezo Bi Juliana Yassoda wa kwanza kushoto akisaini Waraka wa  Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo, hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam  leo (jana).wa kwanza kushoto ni  Katibu Mtendaji  wa Baraza la Michezo la Taifa  Bw. Henry Riaya.
Katibu Mtendaji  wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari hawapo pichani kuhusiana na Waraka  wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo
Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Katibu Mtendaji  wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Henry Riaya hayupo pichani akizungumza na wanahabari hawapo pichani katika hafla ya kusaini Waraka  wa Brighton Declaration kuhusiana na usawa wa kijinsia katika michezo.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. 

Picha zote na Benjamin Sawe -WHVUM


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa

Kumbukumbu la Blogu