Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Shinyanga, Bw. Fabian Kamoga akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.
Mratibu wa Uchaguzi
Mkoa wa Shinyanga, Bw. Fabian Kamoga akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa
wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe
25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya
vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao
wameshiriki mafunzo hayo.
Msimamizi Msadizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Shinyanga Mjini, Bw. Rajab Massanche akizungumza wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.Kutoka kushoto ni Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Lubaga, Bw. Lucas Venance na Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Shinyanga, Bw. Fabian Kamoga (katikati).
Afisa Uchaguzi wa
Manispaa ya Shinyanga, Bw.Charles Kafutila akielezea jambo wakati wa mafunzo
kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo
tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya
vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao
wameshiriki mafunzo hayo.
Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Kata za Chamaguha na Kizumbi, Bi. Jesca Kipingu na Bw. Mwombeki Gadios wakitoa maelezo ya namna ya kufunga sanduku la kupigia kura wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020. Jimbo la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.
Msimamizi Msaidizi wa
Uchaguzi Kata ya Ibinzamata, Bw. Victor Kajuna akitoa maelezo ya moja ya kifaa
kinachotumika katika kituo cha kupigia kura wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa
vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba
2020. Jimbo
la Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi
wa vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.
Msimamizi Msaidizi wa
Uchaguzi Kata Kizumbi, Bw. Mwombeki Gadios akitoa maelekezo ya jinsi ya kufunga
sanduku la kupigia kura wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia
kura katika Jimbo la Shinyanga Mjini leo tarehe 25 Oktoba 2020.Jimbo la
Shinyanga Mjini lina jumla ya vituo vya kupigia kura 326 ambapo wasimamizi wa
vituo vyote na wasaidizi wao wameshiriki mafunzo hayo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni