|
Naibu
Waziriwa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura
akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Mchezo wa Riadha Afrika Mashariki
Mhandisi Sadick Ibrahim (katikati) jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji
wa mashindano ya Riadha Afrika ya Mashariki kwa Vijana wenye umri chini ya
miaka 20 jana jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Makamu wa Rais wa Chama cha
Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni