|
Mwakilishi wa Kampuni ya MaxCom Erick Charles (wapili
kutoka kulia) akifafanua jambo wakati wa kikao baina ya Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, TFF pamoja na Kampuni ya MaxCom ili kujadili
kuhusu uanzishwaji wa matumizi ya mfumo wa Kielektroniki katika ukataji Tiketi
kwa ajili ya kuingilia uwajnjjani wakati wa mechi mbalimbali leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Cecilia Kasonga, Mwakilishi wa
Kampuni ya MaxCom Deogratius Lazaro na Muhasibu
wa TFF Daniel Msangi.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni