|
Bango linaloonyesha Mahali ambapo maonyesho ya
Tanzania International Education ambapo wanafunzi wanapata fursa ya kudahili
katika baadhi ya vyuo vikuu vya nje moja kwa moja kutoke jijini Dar es Salaam.Jumla
ya vyuo 14 pamoja na taasisi moja ya kusaidia usarfiri kwa punguzo maalu kwa
wanafunzi vinashiriki katika maonyesho hayo.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni