|
Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Sanaa kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Bi.Leah Kihimbi(aliyesimama) akifunga mkutano wa urithi wa utamaduni na ubunifu
viwanda katika sekta ya utamaduni uliokuwa na dhumuni la kuwajengea uwezo
wasanii wa sanaa mbalimbali ili waweze kuhamasisha jamii katika kuwaletea
maendeleo chanya.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni