|
Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa(katikati) akizungumza
na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini
Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha
jumuiya hiyo.Tawi hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala.Kulia
ni Mwenyekiti UWT Kata ya Kivukoni Bibi. Rahilu Nyundo na kushoto ni Mwenyekiti
wa UWT Shina la Pamba Bibi. Sophia Mbwille.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni