![]() |
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari
kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma.
|
![]() |
Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akiingia Bungeni tayari kwa kuapishwa |
![]() |
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza Kikao cha 6 cha
Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma
|
![]() |
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akimwapisha Mhe. Balozi Dkt
Augustine Maiga
|
![]() |
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,majaliwa akiteta jambo na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju wakati kuongoza Kikao cha 6 cha
Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
|
![]() |
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses
Nnauye akifatilia Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea
Mjini Dodoma.
|
![]() |
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe
akijibu hoja toka kwa Wabunge mbalimbali katika
Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma.
|
![]() |
Baadhi ya wageni wakifatilia Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili
wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni