Baadhi ya washiriki wa Jamvi la Vijana wakifurahi burudani
kutoka kwa wasanii mbalimbali waliotumbuiza na kutoa burudani katika Jamvi la
Vijana lilofanyika jana jijini Da es Salaam. Jamvi la Vijana uendeshwa mara
moja kila mwezi na Kituo cha Vijana cha UMATI kilichopo wilayani Temeke kwa
mwezi huu Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa uliolenga kuwahamasisha vijana
kufika katika vituo vya afya kwa ajili
ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu.
Picha zote na Mpiga Picha Wetu
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni