Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Concilia Niyibitanga
akipokea kwa niaba ya Katibu Mkuu, msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Platinum Credit Ltd Bw. Elias Samwel wakati wa
hafla ya kukabidhi msaada huo kwa baadhi ya timu za Wizara na Taasisi za
Serikali zinazotarajia kushiriki mashindano ya SHIMIWI leo jijini Dar es
Salaam.Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 27 mwezi huu na
kumalizika tarehe 11 Oktoba mkoani Morogoro.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni